Rabbit King na Rich Mavoko |
Mipaka ya kazi za kisanaa inazidi kupanuka kwa mkali
kutoka 255 Bongo Flevani, Rich Mavoko ambaye
safari hii moja ya vitu vilivyoonekana sana kwenye ukurasa wake wa
Instagram ni PICHAZ akizungumzia ujio wa hii ngoma kutoka Kenya, ambayo Mavoko
kapewa collabo.
Wimbo ni wa Rabbit
King Kaka unaitwa ‘Njoo’.
“Nikimwona roho
huskip a beat kama saa, msafi na tattoo ya hearts kwa thigh, pesa unajua
kupata, matembezi ya bata, maringo ya tausi…”; hii ni sehemu ya verse kutoka
kwa Rabbit mwenyewe.
***chanzo: millardayo.com
No comments:
Post a Comment