Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga. |
KATIBU MKUU WA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATAKUTANA NA WASANII WOTE SIKU YA SIKU YA IJUMAA TAREHE 27/02/2015 KUANZIA SAA 6:00 MCHANA.
ENEO NI NI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM. ATAKAYEPATA UJUMBE HUU ANAOMBWA AMFAHAMISHE NA MWENZAKE.
SHUKRAN.
No comments:
Post a Comment