Ni muunganiko wa wakali wawili Madee
na Chege ambao baada ya mashabiki wa muziki kuwasikia kwenye audio moja
iliyotayarishwa na Dj Maphorisa kutokea Afrika Kusini, sasa time hii pia
wametusogezea video ya single hiyo imefanywa na director Adam Juma.
+++Chanzo: millardayo.com
No comments:
Post a Comment