Mzee Mchoya Mtaki Malogo |
Mwili wa marehemu unategemewa kusafirishwa leo saa kumi kwenda Mkoani Dodoma kwa ajili ya mazishi. Safari ya kusafirisha mwili wa marehemu itaanzia hospitali ya Lugalo
Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho tarehe 07/10/2017 saa kumi jioni katika kijiji cha Nzali, kata ya Chilonwa, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.
Baraza lina wapa pole wanafamilia na wasanii wote kwa msiba huu.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
No comments:
Post a Comment