Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati aliyevaa kofia nyeusi) ambaye ndiye mgeni rasmi kwenye mkutano huu na wanamuziki wa dansi nchini (CHAMUDATA). Kulia ni Kaimu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) Bw. Onesmo Kayanda, kushoto mwa Waziri ni Mwenyekiti wa CHAMUDATA Bw. Juma Ubao. Wengine pichani ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa nchini Bi. Joyce Hagu (wa kwanza kushoto) na Katibu Mtendaji wa COSOTA Bi. Doreen Sanare (wa mwisho kulia aliyevaa blauzi ya njano). |