1.Je unafahamu uwepo wa wimbo wa Afrika Mashariki...!?
Ndio ...........................
Hapana .........................
2. Je unajua ujumbe uliobebwa katika wimbo huo...!?
Ndio ...........................
Hapana .........................
3. Kwa kiasi gani wimbo huu unajulikana katika jamii ya Afrika Mashariki haswa Tanzania?
Unajulikana sana ...........................
Unajulikana wastani .......................
Haujulikani kabisa ........................
No comments:
Post a Comment