Mwanamuziki maarufu nchini Snura
Mushi alipokuja kusalimia kwenye ofisi za BASATA leo hii. Mara ya mwisho
kuonekana kwenye ofisi hizi ilikuwa ni kipindi kile alichotunga wimbo wake wa
"Chura" ambao video yake ilileta ukakasi kwenye jamii.
Nini maoni yako...!?
No comments:
Post a Comment