Friday, 17 February 2017

NYUMBANI NI NYUMBANI..!









Mwanamuziki maarufu nchini Snura Mushi alipokuja kusalimia kwenye ofisi za BASATA leo hii. Mara ya mwisho kuonekana kwenye ofisi hizi ilikuwa ni kipindi kile alichotunga wimbo wake wa "Chura" ambao video yake ilileta ukakasi kwenye jamii.

 

 

Nini maoni yako...!?